Philippians 1:6
Being confident of this, that he who began a good work in you will carry it on to completion until the day of Christ Jesus.
#PAPI_CLEVER_DORCAS
#SITASUMBUKA
#NYIMBO_ZA_WOKOVU
#INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO
#MORNING_WORSHIP
Audio Producer : Papi Clever
Pianist : Merci
Video Director : MUSINGA
Assistant Director : CHRISPEN
CLEDO MUSIC
location : BIGOGWE
You can support this ministry through
Phone: +250783255262
Email : Cleverpapi18@gmail.com
SITASUMBUKA LYRICS
1
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ananitunza daima - I will not be troubled because God always takes care of me
anachukuwa mizigo yangu nyakati zote za mwendo. - takes my burdens at all times of movement
Sijaiona nyingine siku, na jana imetoweka, - I have not seen another day, and yesterday is gone
na leo Mungu anazijuwa hitaji zote ninazo. - and today God knows all the needs I have.
2
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ni baba yangu kabisa. -I will not be troubled because God is my real father
Hawezi kunisahau mimi ingawa akijificha. - He can't forget me even if he hides
3
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu anishibisha neema, - I will not be troubled because God satisfies me with grace
anipa yote yanifaayo kwa roho yangu na mwili. - gives me all that is good for my soul and body
4
Mauwa yote anayavika, Na ndege wote wa anga - He clothes all the flowers, And all the birds of the air
wanapokea chakula chao pasipo shamba na ghala. - receive their food without fields and barns
5
Ninafurahi katika Bwana, Na kama ndege naimba. - I rejoice in the Lord, And like a bird I sing
Najuwa kwamba nyakati zote babangu ananitunza. - I know that my father always takes care of me
#kenyagospel
#tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #kenyangospel #congogospelmusic Alka Mbumba #kenya #kenyadigitalnews #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
#kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
Kelsy Kerubo
Tanzanian icon, Rose Muhando.
JUSTINA SYOKAU (MADAM 2020) - TI UHORO
rose muhando songs
Rose Muhando - Secret Agend
Shetani huzuia sana maono yako, sasa tumechoka na kama mbaya iwe mbaya lazima apigwe.
ROSE MUHANDO - KAMA MBAYA MBAYA
コメント