@MariooOfficialMusic

SHUSHA COMMENT YAKO HAPO CHINI NIAMBIE NI SEHEMU GANI UMEIPENDA KWENYE WIMBO HUU (Niko hapa nasoma na Kujibu)

@SadreckAman

Weweeeeeeeeeeeheee!! Harmonize ni mtu na nusu naomba like 10 tu

@alikibaOfficial

🔥🔥🔥🔥👏🏼

@LoveSulle-by2mo

❤ mungu awape nguvu zaidi kuwafikishia ujimbe walio kat tamaa

@CarlitacelestinoLimas

Oya oya oya Oya we konde Boy unajuwa mpaka unakera brow ❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿

@AustineMogonchi-ij2cd

The only tanzanian music master....alooo Marioo❤❤❤❤from Kenya

@gracewanjiku6581

Kama unakubali Harmonize alifunika kwa hii ngoma show love Konde❤️🇰🇪🇰🇪💪💪🎤🎤👊

@JosuaMburu

Marioo umetisha kinoma❤❤

@mashabikiwaharmonize

Wapi mashabiki wa KONDE GANG damu na wale wanao kubali konde akikutana na MARIOO

@MichaelDawizzy-lm8my

Bomboooooo claaaaa ameufanya mwingi sanaa

@MishiePlatinum1

Tamu kabisa ❤❤ kutoka nyumbani kwethu Malawi 🇲🇼

@jadevevo96

🎉🎉🎉kali nawakubali from kenya 🇰🇪

@SmilingCells-gz4rk

Marioooo to the world. Asantee brazaaa kutoka alooo

@TresorMajibu-t7w

❤harmonize apewe mauwa yake

@SojaGwantanum

Oyaaa hili ngoma nimenyoosha mikono🙌🏾🙌🏾🙌🏾

@BekaBoss-jl9my

Marioo kaka we nimtuwa maana sana kaka Twende naloo sasa🎉🎉🎉🎉

@BillgatMichel

❤ muombe mungu udhima tatizo la mapenzi kanituma mimi ❤❤❤

@ShukuruJonas-dm2tm

Goma kali wanao amini harmonize kaua gonga like hapa

@shadyarif653

Nakubali kenya namba moja hapa🎉

@JonathanKiema-j1i

Iko lit ...love you all mario na harmonize ....uzuri hamnanga kiburi ....from kenya