@petrokawandamo3944

Yani diamond ana ngoma nyingi ambazo ingekuwa wasanii wengine wangezitaja kama hit songs ila yeye mwamba anaziona za kawaida tu huyu jamaa asifananishwe na kenge yoyote east Africa

@richkaja3317

Wabongo tugejua mond sio mtu bali jini one love my bro diamond

@djkomixwizz

Imekuaje huu wimbo  umekuwahit tena🤗🤗

@erickabel6201

Anaitwa chibu mzee wa ma hit song 🔥🔥🔥🔥🔥

@JosephAlex-m1k

Broo!siri pekee wasiyojuwa mashabki unajuwa kuimba, unajuwa kucheza na stage...... continue wiz spirit

@festusabramary-bz4ef

uyu ndio artist sasa hapa tanzania

@Platvastermadancer6725

wewe ni shetani sio wa kawaida   katueshimishe duniani ukoo wakiiona tanzania national flag warespect simbaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

@pipshuntertraders9444

Yani watoto wako wametoa nyimbo. Umeizima kwa sound check tu. Tena ya kanyaga aiseeee....

@King_Joe-r5e

Huyu mwamba anaheshimu sana kazi yake,,,wasanii wengine akitoka tuu,,hata rehearsal hafanyi tena

@irivuzimanaemmanuel5150

From Rwanda 🇷🇼 we love Simba

@YusuphMakau

Love from Bujumbura Burundi ❤❤❤❤ diamond toa vidéo ya komasava nakuomba ❤❤❤❤

@numzweup

Diamond platnumz 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲💯💯💯 bravo one

@wezeshaentertainment

This man is overworking walai aminia 💯🔥💯💯

@aishaahmed5028

Simbaaaaaszzzz🔥🔥🔥🔥🔥hakuna anaekuweza

@YusuphMakau

😂😂😂😂😂❤❤❤❤ Simba la masimba dangote haujui ❤❤❤❤

@brotherbenety

Kazi na nusu 🎉🎉

@dastopadady2402

Reo wa kwanza jaman rk ata ya simba lama simba dangit🎉

@shareefomra1660

From Sudan, I love you, you are the best ❤

@Nalitumpaboy-dm4tk

From zambia 🇿🇲 we love diamond platnumz

@rajogemzanaki3030

Napambana kaka nifike ulipo na nipapite nakuombea sana dangote